Skip to content Skip to sidebar Skip to footer

(Download) "Roho Mtakatifu akaaye ndani yangu - Njia ya tahadhari kwako katika kumpokea Roho Mtakatifu" by Paul C. Jong * eBook PDF Kindle ePub Free

Roho Mtakatifu akaaye ndani yangu - Njia ya tahadhari kwako katika kumpokea Roho Mtakatifu

📘 Read Now     📥 Download


eBook details

  • Title: Roho Mtakatifu akaaye ndani yangu - Njia ya tahadhari kwako katika kumpokea Roho Mtakatifu
  • Author : Paul C. Jong
  • Release Date : January 12, 2021
  • Genre: Christianity,Books,Religion & Spirituality,
  • Pages : * pages
  • Size : 2487 KB

Description

Katika Ukristo nyakati hizi, mojawapo ya mambo yanayozungumziwa mara nyingi ni kuhusiana na habari za "wokovu toka dhambini" na "kupokea uwepo wa Roho Mtakatifu". Hata hivyo ni watu wachache walio na ufahamu ulio sahihi wa mambo haya mawili, ingawa ukweli ni kwamba haya ni mabo mawili muhimu kuhusiana na maswala ya Ukristo. Mbaya ni nini, bado hatujaweza kupata maandiko yanayo tufunza kwa uwazi juu ya mambo haya yaliyo tajwa hapo juu. Wapo watunzi wa vitabu wa Kikristo walio wengi wakitukuza karama za Roho Mtakatifu au kuelezea maisha ya kujazwa na Roho. Lakini hakuna hata mmoja kati yao anaye thubutu kushughulika na swali la msingi,nalo ni "Kwa namna gani anaye amini ataweza kumpokea Roho Mtakatifu kwa uhakika?" Kwanini? Ukweli wa kushangaza ni kwamba hawajaweza kuandika kwa viwango vilivyo kamili kwa sababu hawakuweza kuwa na ufahamu ulio kamili juu ya hili. Kama vili Nabii Hosea alipo paza sauti na kusema "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa", kwa nyakati hizi si wakristo wachache wanao vutwa katika ushabiki wa kidini, wakitegemea kumpokea Roho Mtakatifu. Huamini kwamba wataweza kumpokea Kumpokea Roho Mtakatifu baada ya kufikia kiwango cha hisia kali na mashamusham. Lakini si swala la kutia chumnvi tukisema kwamba kinacho itwa imani na watu hawa ndicho kinacho fanya Ukristo udharaulike na hata kuonekana kama mojawapo tu ya dini mfano Shama (Shamanism), na ukereketwa wa aina hii unatoka na Shetani

Mtunzi, Mchungaji Paul C. Jong huthubutu siku zote kutangaza ukweli. Hujihusisha na maswala yaliyo muhimu kwa kiwango cha kutosha, ambacho wengi wa watunzi wa vitabu vya kiroho wamekwepa kwa muda mrefu. Kwanza amefafanua maana ya "kuzaliwa upya mara ya pili" na "kupokea uwepo wa Roho Mtakatifu" na kuelezea uhusiano usio kwepeka kati ya mambo yaha mawili ya ngozo za msingi. Na ndipo basi akachukua maelezo ya kina kwa pamoja kuhusiana na Roho Mtakatifu, kuanzia "namna ya utambuzi war oho" kuelekea "namna ya kuishi maisha ya ujazo wa Roho". Kwa habari zaidi mwandishi anakushauri uchunguze yaliyomo katika kitabu hiki ambayo yamewekwa katika kurasa za tovuti hii.


Books Free Download "Roho Mtakatifu akaaye ndani yangu - Njia ya tahadhari kwako katika kumpokea Roho Mtakatifu" PDF ePub Kindle